//
Mkataba wa huduma kwa mteja kwa sauti. Bonyenza hapa
Chuo cha ufundi cha Muraga kinaahidi kutoa huduma kuambatana na viwango bora, uvumbuzi, ubunifu, Maadili ya kitaaluma, utawala wa mashirika na kwa kuzingatia mahitaji ya mteja.
WITO
Kituo cha ubora katika ufundishaji wa elimu ya kiufundi
LENGO:
Kufundisha wanafunzi wenye umilisi na uvumbuzi katika TVET ili kuafikia mahitaji ya kisasa katika viwanda na kwa ajili ya kujiendeleza.
Nambari | HUDUMA | MAJUKUMU YA MTEJA | ADA | MUDA |
1 | Taarifa na Kujibu maswali | Tumia njia zifuatazo: •Kutembelea Chuo / kupiga Simu | Bila Malipo | Dakika 15 tangu kuwasili |
2 | Maombi ya nafasi ya masomo | Barua ya maombi na nakala za: • Cheti cha kuhitimu cha Sekondari, • Cheti cha kuzaliwa • Cheti cha Kukamilisha Sekondari • Kitambulisho cha Taifa | 300 | Muda ufaao kulingana na mkataba |
3 | Usajili wa wanafunzi | Barua ya usajili iliyojazwa Vyeti halisi vya kuthibitisha • Picha ya Pasipoti • Malipo ya karo hitajika | Bila Malipo | Siku hiyo hio ya wasilisho |
4 | Mafunzo na Ufundishaji | Mwanafunzi kuzingatia sheria na masharti ya Sera ya chuo, Kutekeleza kozi na mradi wa utafiti | Bila Malipo | Kulingana na Shajala ya Muhula |
5 | Mitihani ya ndani ya Chuo | Kwa mujibu wa sera ya chuo • Kadi ya mtihani | Kwa mjibu wa karo ya chuo | Kulingana na ratiba ya mitihani |
6 | Mitihani ya kufuzu | Malipo yote ya karo, Vyeti halisi na nakala za: • Kitambulisho cha Taifa, • Cheti cha kuzaliwa | Malipo yote ya karo na ada ya mtihani | Kulingana na ratiba ya mitihani |
7 | Kuwalipa wagavi wetu | Mahitaji • Hati ya kudai iliyotiwa sahihi, • Nyaraka za kuthibitisha | Bila Malipo | Kwa muda Wa Siku 30 |
8 | Marejesho ya Maswali na mapendekezo | Kuwasilisha maulizo afisini | Bila Malipo | Siku 7 za kazi |
Mwalimu Mkuu Chuo cha ufundi cha Muraga SLP ; 614- 60400 CHUKA KENYA Simu: 0113 175 113 Baruapepe: muragatechinst@gmail.com | Tume ya Utetezi wa Hakiza utawala West End Towers, Ghorofa ya pili, Waiyaki Way, Westlands SLP; 20414- 00200 NAIROBI SIMU: +254(0)202270000/2303000 Info:complain@ombudsman.go.ke |